制作
出演艺人
Baddest 47
表演者
作曲和作词
Linus Aggrey
词曲作者
歌词
Mhhhhhhh
Chiby Once Again Ma Fu*****
Weeeeed, Yeah Champion Boy
aaaaaaah Oky, Chiby
(Yeah) Nilikosea Kupenda Au Nilikosea Ku Choose
NikamChoose Anna Hataki Bwana Ambae Mchuzi Hana
Hapo Ndio Nilikosea Sabuni Ya Kuoshea Ndio Nikaogea
Oooooh Ooooh Ooooh Sea MwanaMama Ukasepa Ukapote
(IiiiiH ) Mazima Kumbe Penzi La Kuazima
Nawasha Taa Kumbe Wana Wana Zima
Wanakupitia Kila Nikizima
( Oky Aaaah ) Kipindi Nakukuna, Sikuvimba Nilituna
Hata Pochi Haikutuna, Ila Nilikunywa Sana Azuma
( Aaaah )
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito

Oya Wanangu Eeeeeeh ( Eeeeeh ) Mimi Si Muhuni Wenu ( Eeeeeh )
Sina Nguve Tena ( Eeeeeh ) Za Kumpenda Shem Wenu ( Eeeeeh )
Nilipita Na Best Yake Kimakosa Ni Shetani Tu ( Kipita Na Bos Na Mlinzi Na My Campany Full )
( Aaaaah ) Mazee Hay Mapenzi Tuwaachie Wazee ( Mazee Haya Mapenzi Tuwaachie Wazee )
( Aaaaah Yeah ) Mazee Hay Mapenzi Tuwaachie Wazee ( Mazee Haya Mapenzi Tuwaachie Wazee )
Mazima Kumbe Penzi La Kuazima
Nawasha Taa Kumbe Wana Wana Zima
Wanakupitia Kila Nikizima
( Oky Aaaah ) Kipindi Nakukuna, Sikuvimba Nilituna
Hata Pochi Haikutuna, Ila Nilikunywa Sana Azuma
( Aaaah )
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Ni Mapito Kapenzi Ka Mpito, Pito Kanavuka Mpito
Nms
Mpito Mpito Mpitoooo, Eeeeeeeeeah
Kapenzi Ka Mpito, Mpitooooo
FreeNation
Written by: Linus Aggrey