制作

出演艺人
Baddest 47
Baddest 47
表演者
作曲和作词
Linus Aggrey
Linus Aggrey
词曲作者

歌词

Ndugu zangu kama raisi halali we usingizi unautoa wapi? (Hello)
We usingizi unautoa wapi?
Humu tu (ni wazimu)
Aaa wanaman wanaman (humu tuu)
Hello
Mmmh wedeee
Humu tyuuuu (hii ngoma ni wazimu)
Champion boy (humu tu)
Yeah, mmmh automatic eeee
Si akadata na mwantiti eeee
Kakatambia olympiki eee
Muhuni nakanyaga kiki eee
Zile njinjigi njinjigi
Kama tasi kama kiki
Kama movie cinematic
Muhuni natembeza kiki
Yeah, show baisho I love babe
So babe twende uswaaa
Uliniachia huachi pengo unaacha kovu
Unaacha scar
Kwanza zima simu
Zima data, zima na taa
Kuna kitu inafata ni matata yani leo ni
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Yani leo ni
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Aaa anang'ata kucha
Nyama nyingi kama ana bucha
Wai chikichi wai chikichi
Humu tu mpaka kuna kucha
Aaa anang'ata kucha
Nyama nyingi kama ana bucha
Wai chikichi wai chikichi
Humu tu mpaka kuna kucha
Nasema leo leo leo
Leo leo leo
Wanangu leo leo
Leo leo
Nainjoi na uroda
Nauapata kwa masaa
Usizidishe manjonjo
Mbele ukijiona una vibe
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Humu tuuu
Chino wanaman
Pushy wanaman
Papy wanaman
Ha dogonoma what's up
Humu tu
Aaa wanaman gang
Written by: Linus Aggrey
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...