制作
出演艺人
Eric Wainaina
领唱
Vincent Ngugi
领唱
Angachi Mark Omwista
领唱
Kenchez Muya
领唱
Skoko Wachira
朗读
Benjamin Kabaseke
电吉他
Victor Kimetto
钢琴
Timothy Arinaitwe
原声吉他
Mordecai Dex
领唱
作曲和作词
Eric Wainaina
词曲作者
制作和工程
Eric Wainaina
声乐制作人
Mbogua Mbugua Mbugua
制作人
Tim Lengfeld
母带工程师
Rushab Nandha
母带工程师
歌词
[Chorus]
Mariana, Mariana
Nimechoka kusota
Nimeamua leo ni leo
Nitabadili picha
[Chorus]
Mariana, Mariana
Niliomba unipe mwaka
Usitupe upendo wetu
Na usiamke kutoka ndoto yetu
[Verse 1]
Nilinunua baiskeli
Kupitia mkopo wa benki
Kusafirisha abiria
Lakini ili ibiwa
[Chorus]
Mariana, Mariana
Ulitafuta visa
Ya nchi ya Uropa
Utaniacha juu ya pesa
[Verse 2]
Hakuna atakayeweza
Kukupenda vile nakupenda
Najua upendo hauliwi
Lakini moyo haudanganywi
[Refrain]
Nilinunua shamba
Na nilipanda mimea
Ya kuuza marikiti
Lakini ukame ukanirudisha magotini
[Chorus]
Mariana, Mariana
Nilikuwa nimechoka
Kwa vile umaskini
Utafanya unitoroke
[Chorus]
Mariana, Mariana
Nilikomboa bunduki
Niliamua leo ni leo
Nilikuwa na mpango mufti
[Verse 3]
Kama vile kwenye movie
Nilingia kwa benki
Nilisema lala chini
Nikajaziwa tikiti
[Refrain]
Basi mimi ni huyo
Nikajivuta upesi
Nikauficha mzigo
Na nimeiba gari
Naenda mwendo kasi
Lakini kasi haishindi risasi
Zinanyesha kama mvua
Naomba Mungu atanipokea
[Outro]
Ukiulizwa kwa nini
Kwa makumbusho yangu
Waelze nilikataa kuishi
Na matumaini pekee
[Outro]
Mariana Mariana
Jambo la mwisho
Kwa mizizi ya mti wetu
Nimekuachai zawadi
Ili usinitoroke
Written by: Eric Wainaina