歌词
[Verse 1]
Sina patience anymore
We maliza acha story
I won't give you my time like before
Kwanini hukusema hata sorry
[Verse 2]
Ulienda ulidhani hutapitia so
Kwanini unaniletea ngori
Achia mapenzi wenye wanaelewa
And let me focus on my glory
[Verse 3]
Mwanzo sikuelewi
Alafu misikujui
Mwanzo mi sikupendi na tena
Mi sikutambui
[Chorus]
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
[Verse 4]
Staki mimi drama
Staki kuziona macho zako zikinitazama ooh
Salimia mama
Alaf umwambie mtoto wake ni hasara
[Verse 5]
Wanaiita karma
Imekuaje sa ni wewe umeshikilia kamba
Na dunia imekufunza
Na ukirudi hapa tena utapata nimehama
[Verse 6]
Mwanzo sikuelewi
Alafu mi sikujui
Mwanzo mi sikupendi
Na tena, mi sikutambui
[Chorus]
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi,siskii
[Verse 7]
Mmh I was there all along
And you couldn't wait to move on
And I, I don't know what more I coulda done
Look what you've become
Feeling so alone
[Chorus]
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi,siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Sitaki, siendi, sifanyi, siskii
Written by: Pauline Ayuko
