歌词

Mama aliniita Kidawa kweli kwako nimekuwa dawa Umwa nikuponyeshe laziz Umwa nikuuguze mpenzi Wewe kwangu kama Champaign kwenye sherehe nikufungue wewe Karibu kwangu kama mke ukae kwenye pango moyoni Yoh kwako nimefika Mwingine me sitaki mama marengo yangu kuwa nawe mi nasema Niko tayari kujifunza ma sitaki fail na Haijalishi me wa kwanza si tufike mbali Juu ya vikwazo kwenye penzi Tulale na njaa labda mipango ya mwenyezi me ndo ntakuwa makini juu ya penzi lako ntapigana kuhakikisha naitumza hadhi yako
Writer(s): Izzo Bizness Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out