歌词
Yeah yeah yeah yeah
My sinyorita mama sita
Sinyorita Mama sita haaahaa
Mawazo yako Mama mrembo ya menishika,
Mrembo wa Tanganyika ,
Na siwezi kuacha Mama kwako nimeridhika Acha ni kupe sifa,
Natembea sioni umenikalia kooni,
Umenigandia moyoni,
Sitokwacha hata twende peponi,
Umenicholea kwa mboni,
Unani rudia ndotoni,
Penzi la kichochoroni tu sije pote wakatokea madoni,
Nachange step wasije waka cover gap,
Maana Wana jua kuongea,
Wazee wa kwetu waga wana pita peku,
Ndala hawajui kuogea,
Na weka cap twende kwa mama yeah
Kuchagua sijakosea,
Onyesha shep piga Santana yeah
Sindio tuna sherekea,
Am deep in love deep in love
Baby am deep in love deep in love
Usiku nakuotaga wewe
Mwenyewe ndio unanipa kiwewe,
Am deep in love deep in love
Baby am deep in love deep in love
Usiku nakuotaga wewe
Mwenyewe ndio unanipa kiwewe
Baby tuanzishe story,coz your my shory,
Wana tupakazia wambea wa chache wambie wa tulize bori,
Wana kukanyagia masela wa chache hawana hata worry,
Tena wa mbie am sorry,
Ni tawa Tupi Goroli,
Ni we na mimi mpenzi
Wengine hao sitaki tena, walisha shindwa Nipa Ngoma na we unafanya mi na pona, mamaa
Najiona mimi mpenzi
Wengine washa ni danganya Nika jibana kwenye kona na we unafanya mi na pona mama,
Moyo unadunda puu your my energy,
Yumba tu na yumba tu you drug mi Hennessy,
Mpaka upendo unakuwa sugu ngozi ya fenesi,
Hata siongei na kuwa bubu am sayless,
Am deep in love deep in love
Baby am deep in love deep in love
Usiku nakuotaga wewe
Mwenyewe ndio unanipa kiwewe
Am deep in love deep in love
Baby am deep in love deep in love
Usiku nakuotaga wewe
Mwenyewe ndio unanipa kiwewe
Written by: Were Mura


