歌词
Mation
Na yumba yumba kwenye mtaro
Mazee nimechafuka kama vile kimaro
Mkononi na bia na punguza kiwaro
Sura imepauka Haina Tena mng\'aro
Navyo tembea kama vile na sukumwa
Napiga hatua mbili mbele kumi nyuma
Navyo teseka sijui nani amenituma
Nasiku zinakwenda sijawahi koma
Na sina habari navyo sota
Meno kadha yasha ning\'oka
Na mbili kichwani zishani toka
Mimwenyewe Nisha jichoka
Na sina habari navyo sota
Meno kadha yasha ning\'oka
Na mbili kichwani zishani toka
Mimwenyewe Nisha jichoka
POMBE INANITESA POMBE
POMBE NINA HAMU NA POMBE
POMBE INANITESA POMBE
POMBE SINA HAMU NA POMBE
nayumba yumba pombe zinanitesa pombe
Nayumba yumba pombe sina HAMU na POMBE iye iye iyeee
Nimeamka na mawenge
Kama Niko juu ya muwembe
Mwili unamabaka kama kenge
Ng\'ombe niliyo kosa mapembe
Asubuhi sijanywa hata supu
Mlevi nimeamka kapuku
Brother nihungie hata buku
Nataka nikagonge hata nusu
Nazunguka karani kiukifuani nipate maji ya mchina
Mambo ya kizamani eti nibaki ndani wakati pesa sija hazima
Na sina habari navyo sota
Meno kadha yasha ning\'oka
Na mbili kichwani zishani toka
Mimwenyewe Nisha jichoka
POMBE INANITESA POMBE
POMBE NINA HAMU NA POMBE
POMBE INANITESA POMBE
POMBE SINA HAMU NA POMBE
nayumba yumba pombe zinanitesa pombe
Nayumba yumba pombe sina HAMU na POMBE iye iye iyeee
Written by: Were Mura


