album cover
Patner
album cover
Patner 由 Beka Flavour 于 2024年6月19日 发行,作为专辑“Patner - Single”的一部分。
Released2024年6月19日
唱片公司Beka Flavour
BPM109
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量

歌词

Partner eehh
Partner eehh
Huo uzuri wako kama umechorwa
Ndo maana sichoki kukusifiaga
Sifa hizo zote zako nazokupaga
Hunogei chumvi sukari nalambaga
(nailamba lamba lamba laaahh)
Jinsi alivyo huyu mtoto ananidatisha aahh
Utasema malaika kaumbika aahh
Ile mahari niloshindwa sa hizi nailipa aahh
Msijaribu nipora patachimbika aahh
My honey my senorita my baby. (my potato)
Moyo wangu unauwendesha dereva. (Peke yako)
My honey my senorita my baby. (my potato)
Moyo wangu unauwendesha dereva. (Peke yako)
Partner wa moyo wangu partner eehh
Chagua jina nikuite nani patina eehh
We ndo partner wa moyo wangu patina eehh
Chagua jina nikuite nani partner eehh
Ladies
Ha aaaa
Ha aaa
Nobody wakufanana na wewe
Wakiweka tatu bora namba moja ni wewe
Siwazi mi kuachana na wewe
Wengine mi nawachora nayekupenda ni wewe
Wanajifanya watabiri yetu yanawachanganya
Tukigombana asubuhi jioni si tunapatana
Chetu kitendawili hakiteguki
Wana haa wenye chuki
Wambea tunawachanganya hawasanuki. oooohh
My honey my senorita my baby. (my potato)
Moyo wangu unauwendesha dereva. (Peke yako)
My honey my senorita my baby . (my potato)
Moyo wangu unauwendesha dereva. (Peke yako)
Partner wa moyo wangu partner eehh
Chagua jina nikuite nani partner eehh
We ndo patina wa moyo wangu partner eehh
Chagua jina nikuite nani partner eehh
Partner eehh
Partner eehh
Partner eehh
Partner eehh
Written by: Bakari Katuti
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...