制作
出演艺人
Centano
表演者
作曲和作词
Innocent Omary
词曲作者
制作和工程
Centano
制作人
歌词
Tukikosa unacheka
Tukipata unanuna
Tukitumia unavimba
We mchawi una roho
Eeeh acha wivu
Acha eeeh Acha wivu
Eeeh acha wivu
Acha eeeh Acha wivu
Una roho mbaya ila ya bei poa
Una roho mbaya ila ya bei poa
Una roho mbaya ila ya bei poa
Una roho mbaya ila ya bei poa
Tukiwa tuna hustle unacheka
Tukijipata Simu nyingi unabweka
Tukiwa tuna hustle unacheka ahh
Tukijipata Simu nyingi unabweka
Tumekukataa we so mwana
Labda mwanaizaya
Tumekukataa we so mwana
Labda mwanaizaya
Tukipataga unakunja
We so mwana mwanaizaya
Tumekukataa we so mwana
Labda mwanaizaya
Tukipataga unakunja
We so mwana mwanaizaya
Tukikosa unacheka
Tukipata unanuna
Tukitumia unavimba
We mchawi una roho
Eeeh acha wivu
Acha eeeh Acha wivu
Eeeh acha wivu
Acha eeeh Acha wivu
Written by: Innocent Omary