制作
出演艺人
Kagwe Mungai
表演者
Matata
表演者
作曲和作词
Kagwe Mungai
作曲
Matata
作曲
制作和工程
DTX
制作人
歌词
[Chorus]
Peng ting na madiga diga (Giga) sweety unataka gani?
Shisha na ka shashamani, leo hatulali nyumbani
Beba wawili-wawili, beba wawili wawili (Ey)
Beba wawili-wawili
[Verse 1]
Hapa kuna ma sweety-sweety
Notorious kama biggie-biggie
Agaldem kama fisi fisi
Nakuchekuki ukona bidii-bidii
[Verse 2]
Usipo shika form nitakublock
Ukitaka sana nitaukublock
Pia unaweza unlock
Cheza chini, cheza chini kama shada kwa socks
[Verse 3]
Peng ting na madiga diga (Giga) sweety unataka gani?
Shisha na ka shashamani, leo hatulali nyumbani
Beba wawili-wawili, beba wawili wawili (Ey)
Beba wawili-wawili
[Verse 4]
Flip flop, drip drop, big dawg, real talk
Leo nalala kwa mtaro, kwa corridor kishaa gonga kukuru bila condiko
Skimbitia pembeteng timbiting asha nipembetia tumbutu tuku tumbutoa, kumbutato
Niko fresh barida, where’s the weed at Fanisha winner
[Chorus]
Peng ting na madiga (Giga) sweety unataka gani?
Shisha na ka shashamani, leo hatulali nyumbani (Wewe)
[Chorus]
Beba wawili wawili, beba wawili wawili (Ey)
Beba wawili wawili
[Verse 5]
Na rada ni diambo
Sikai kama raiya nakula avocado
Teremsha nafurahia
Mtoto wa pastor but leo nkaa mraia
[Verse 6]
Ndio mana mali yako akiniona inafurahia (Wacha)
Nikimupalilia (Rasta)
Naitwa ivo na mama wa Harrier (Ulcers)
Itakushika ukiniangalia (Handas)
Imeshika shinda ya waria
[Chorus]
Peng ting na madiga diga (Giga) sweety unataka gani?
Shisha na ka shashamani, leo hatulali nyumbani
Beba wawili-wawili, beba wawili wawili (Ey)
Beba wawili-wawili
[Outro]
Beba wawili-wawili, beba wawili wawili (Ey)
Beba wawili-wawili
Written by: Kagwe Mungai, Matata