制作

出演艺人
Moni.b
Moni.b
表演者
作曲和作词
Agustino Moni
Agustino Moni
词曲作者
Noel Visent
Noel Visent
词曲作者
制作和工程
Sun v
Sun v
制作人

歌词

Aah Moni.b
Ashiih,
Enhe Nyoka
Unaenjoy,
Jommy the Dj,
Mr. No body,
Sun V on the beat.
Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu
(Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu )
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe, (mpe distance,)
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe,( mpe respect,)
Eee Ntaua Ntaua, I go kill somebody.
Kujishaua Shaua, mkimuona wangu babe,
Yaani me Ntaua Ntaua,I go kill somebody,
Simnanijua nijua, shemu wenu muogope,
Wivu ndo mapenzi, ila wangu umezidi
Bila yeye siwezi, ukimfuata utaded..
(Wivu Ndo mapenzi,ila wangu umezidi
Bila yeye siwezi,ukimfuata utaded)
Punguzeni shobo (shobo), shemeji yenu huyo,
Mara shem mambo (mambo), Naijua hiyo,
Kunilia chabo,(chabo), hiyo michezo hiyo,
Kumuhonga tambo(Tambo). Utauponza,,
Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu
(Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu )
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe, (mpe distance,)
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe,( mpe respect,)
Kutembea na wapenzi wa watu sawa unajiweka bond,
Utajuta ukikutwa na mtu wa mtu, watu wana hasira we,
Usharukani kwa wapenzi wa watu, utakuponza si utani,
Ukikumbuka gharama mapenzi yanauma watu wana hasira aisee.
Hizo za pigo za UBFF NA MPENZI WANGU,ZITAKUUMIZA
( KAA MBALI, OYA WEE KAA CHONJO)
SAWA KIZURI KULA NA WATU, ILA SO MCHUMBA AISEE,
KUSHARE NONO, OYA WEE HAPA NONO)
WAHUNI (EEH)
HIVI AKITOKA NA MPENZI WAKO, UTAFANYAJE
(ME SJUI)
MASELA EEH, .(EEH) HIVI UKIMUKUTA NA MPENZI WAKO UTASAMEHE?
(People arguing)
Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu
(Wanangu huyo, huyo ni shemeji yenu Huyo .
Wanangu huyo,Huyo ndie shemu wenu )
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe, (mpe distance,)
Mkwepe, mkwepe huyo, mkwepe,( mpe respect,)
(Instrumental)
MixBoi.
Written by: Agustino Moni, Noel Visent
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...