制作
出演艺人
MABANTU
表演者
作曲和作词
Twarha Kanengo
词曲作者
Mwarami kajonje
词曲作者
制作和工程
S2Kizzy
制作人
歌词
Si wanapenda Kubang
We Kumaanisha nini ?
We zombie weee
Kubwa jinga Anaomba nifail aisee (anaomba nifail aisee )
Anaomba nitoke Droo x2
Usiku Usiku anakesha kwa waganga X2
Ili nidharirike x2
Shenzi hallelujah (Ameen)
Kwa Jina la baba sirudi kijijini hallelujah (Ameen )
Kwa Jina la baba nitazidi kuwabore hallelujah (Ameen)
More money
More bata
More success Hallelujah
nitazidi kuwapelekea moto hallelujah
We zombie unajua
We zombie unabore
We zombie weeeh..!!
Zombie mnyonya Damu
MUNGU baba kumbe inawakera
Nikipata kumbe inawakera
We sir God kumbe inawakera
Nikipata kumbe inawakera
Wameniroga wamenishindwa
Wameviweka vikao wamenishindwa
Wamevitupa vijini wamenishindwa
Oyaah..!! Naenda kama nani ? Naenda kama zombie
Hallelujah (ameen )
Kwa Jina la baba sirudi kijijini hallelujah (Ameen )
Kwa Jina la baba nitazidi kuwabore hallelujah (Ameen)
More money
More bata
More success Hallelujah
nitazidi kuwapelekea moto
We zombie unajua
We zombie unabore
We zombie weeeh..!!
Zombie mnyonya Damu
Demu wako ana mhha x8
Zombie mnyonya Damu
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo

