制作
出演艺人
Mbuzi Gang
表演者
Joseph Nyamwea
声乐
Mike Makori
声乐
Moses Otieno
声乐
作曲和作词
Joseph Nyamwea
词曲作者
Mike Makori
词曲作者
Moses Otieno
词曲作者
制作和工程
Clamer
制作人
歌词
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Verse 1]
Aah, usikam kwangu ka unajua hujai nyoa
Eeh, ka unajua hujai nyoa
Mchezo wa kuingiza naingiza naitoa
Eeh naingiza naitoa
[Verse 2]
Eeeii, eeii tetemesha mguu punguza nyege
Ananiride ka misenge
Ka ni wa wenyewe si atekwe
Eeh, eeh
[Verse 3]
Denda teka return to sender
Nginyo anatekwa leo ju mi ni spender
Analeta kiti alafu anameza
Peng hana njete ndio maana naiweka
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Verse 4]
Sheng ako na denda denda anapenda
Ni ndenga then ako na red flags danger
Mechi si huchapa huchapa ndenga
Another, another banger ka Rema
Hii rungu ikidunda mtaa ni tremor
Beef ka nkt! Mungai na Trevor
[Verse 5]
Mi hunamba mi hulenga
Unapenda favour ye hupenda banana
CD iko na flavour, ever ready
Geti ndakas yooh
Niko na park ya mapaka stori ya jaba
Mbuzi colours na hizi riba ratili tuna balance
[Verse 6]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Verse 7]
Kwela ni maji maji na tena ni thick sana
Nikiiteka mi lazima ni repeat bana
Anazungusha napanda akishuka
Ananichanganya nadhani niko maunga
Rombosa nini joh niskie fiti
[Verse 8]
Napapasa, napapasa nashikwa na dhidhi
Na kwanza venye umedunga kamini
Nakukata nakukata mpaka hadi chini
Tingika tingika ki ozeba
[Verse 9]
Napenda zile vitu zi huanga zimebeba beba
Tingika tingika ki ozeba
Napenda zile vitu zi huanga zimebe
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
[Chorus]
Nikikukatia denda denda denda
Nikiteka denda return to sender
Dj basi fanya wazungushe io denda
Dj basi fanya wazungushe io denda
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno

