制作

出演艺人
Marioo
Marioo
表演者
Gaz Mawete
Gaz Mawete
表演者
Jeeba
Jeeba
表演者
作曲和作词
Kimambo
Kimambo
作曲
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
作曲
Gael Kapia Mawete
Gael Kapia Mawete
词曲作者
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
词曲作者
制作和工程
Kimambo
Kimambo
制作人

歌词

Mi amor
Te amo
Ohh baby mon amor
Hakuna mwingine wa kumsikia
Kwenye masikio yangu
Hakuna mwingine wakumuona
Kwenye macho yangu
Nibebe nibebe
Honey nishushe mahabani
Aaah
Nigege nigege
Mie kwako taabani
Heeeeeee mi amor
Mmmmh
Nikuite jina gani baby honey
Mmh
Mon amor
Eeeeh
Mi amor
Mmmh
Nikuite jina gani mahabuba lazizi
Mon amor
Ohh mon amor
Kimamba on the beats
Mmmh
Yeeeah
Heeey yeeeah
Baby heeey
Moyoni ulivyo ni kaa never seen before
Unavyo nipa never seen before
Wengine wa nini
Hooo la la la la la laa
Never seen before
Tuwe wote mpaka kifo
Madunga embe wa nini
Hoo la la la la la la laa
Kwenye joto nipepee
Kwa baridi nikumbate
Kwenye mvua nikinge
Uwe mwamvuli
Nibebe nibebe honey
Nishushe mahabani
Nigege nigege
Mi kwako taabani
Eeeeeeeeh
Mi amor
Nikuite jina gani baby honey
Mmh
Mon amor
Eeeeeh
Mi amor
Nikuite jina gani mahabuba lazizi
Mon amor
Oooh mon amor
Written by: Gael Kapia Mawete, Kimambo, Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...