Martha Mwaipaja 熱門歌曲
類似的歌曲
積分
出演艺人
Martha Mwaipaja
表演者
作曲和作词
Martha Mwaipaja
词曲作者
歌詞
Tulikotoka ni mbali tuendapo ni karibu
Ulituvusha milima na bonde wewe ndie
Baba a huruma uhimidiwe ushukuriwe
Tazama uzuri wa uumbaji wake ona
Uzuri wa maajabu yake sababu yake
Kila kitu kipo pake kwa ustadi wake
Kazi yake yastaajabisha mnoo
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com