類似的歌曲
積分
出演艺人
Martha Mwaipaja
表演者
作曲和作词
Martha Mwaipaja
词曲作者
歌詞
Kuna wakati wa kulia
Wakati wa kuomboleza
Wakati wa kusema mungu
Mbona umeniacha
Mana hakuna wakati mgumu
Kama wakati wa shida
Ata ndugu yako wa damu atajitenga nawe
Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia
Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe
Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia
Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe
Nimejifunza kwamba wakati wa matatizo ata yule aliyekupenda anajitenga nawe
Mana hata wakati wa yesu katika kikombe cha mateso wengi waliyempenda walijitenga naye Hata wanafunzi wake
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com