音樂影片

🔴 LIVE Dj Shinski with @sistuki Mashujaa Day Live Celebration Mix | Kenya, gengetone, Afrobeats
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

積分

出演艺人
Bensoul
Bensoul
表演者
作曲和作词
Bensoul
Bensoul
词曲作者
Mejja
Mejja
作曲
Benson Mutua
Benson Mutua
作曲
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
作曲
制作和工程
Benson Mutua
Benson Mutua
制作人
SoFresh
SoFresh
制作人
Savara Mudigi
Savara Mudigi
制作人
Mbogua
Mbogua
制作人

歌詞

Heh? Hehehe Hmm-haha, maajabu (woo!) Suda! Habari mbaya zimenifikia Mandugu zangu wananikulia Kumbe sahani yangu ni sinia Na inaniuma sana Yule mpenzi niliaminia Nikamueka mbele ya dunia I must be trippin' nikikurudia Umenitesa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana, mama Woi-yoo Motherfuckers gon' kill me in this bitch, yeah, yeah Marashi yako yalinivutia Siku ya kwanza ulipopitia Kumbe sii mi pekee nilinusia Yolanda ya Lavender Na mbogi yangu iliniambia (walini-show) Eti nikusare but sikusikia (sikusikia) I don' wanna do this shit no more, my dear Najuta kupendana Nairobi (woyo-yoyo) Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana, mama Gonga (gonga) gonga like Gonga (gonga) gonga like, yeah Gonga (gonga) gonga like Okonkwo (gonga) Yo (gonga like, yeah) Rieng? (Yeah) Radar? Siku hizi madem ni blunder Jana cuzo alimkaza He's family, ah-ah Get together kwa bed Hio story tumekataa Ma-boy wengine blunder Watakukulia mama (weh) Na wakuchekeshe sana Madame madem, eh (hmm) Madame wa siku hizi Wana machali wengi Nilichapa mmoja juzi Ikaingia ndani, dive Nairobi (woyo-yoyo) Yule anakupea, pia ananipea (yule) Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tuna-share Ogopa sana, mama
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out