音樂影片

NVIIRI THE STORYTELLER - POMBE SIGARA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) SMS [SKIZA 8546482] TO 811
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

積分

出演艺人
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
表演者
作曲和作词
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
作曲
Fancy Fingers
Fancy Fingers
作曲
M.Boks
M.Boks
作曲

歌詞

Oh-ooh, pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'ana Lakini, hawa wasichana Vile nawapenda, ni kama laana Ooh, Sol Generation I'm tha storyteller, aye, aye, aye Ooh lawd Naskia walevi huota na beer Lakini kuna siri nitawaibia leo See I'm not addicted to alcohol I'm not a victim, not at all Yalimpata Samson, yakampata Solomon Situation hugeuka tricky Kila shimo napanda miti Contribution kwa team mafisi, Karura Eeh, hii situation hugeuka tricky Kwa hivyo... Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda Ni kama laana, ah Someone please call 911 Tell them the storyteller has gone down Ati alivunja shingo akalemewa Akatoa fimbo nje ya ndoa Na hivyo ndivyo alijichomea Ehh hii situation imekuwa tricky Kuna shimo alipanda miti Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela Eeh hii situation hugeuka tricky Kwa hivyo... Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara, ah Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda Ni kama laana, ah Ooh yeah, yeah Pombe sigara, ah Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah Lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda Ni kama laana, ah (Ooh yeah, yeah, yeah, yeah)
Writer(s): Nviiri The Storyteller Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out