積分
演出藝人
Walter Chilambo
演出者
詞曲
Walter Chilambo
詞曲創作
歌詞
Muda mwingi nilipotea, sikufahamu msalaba
Wala aliyenifilia kwa Kalvarii, ii, ii, ii ila kwa neema
Kwa nenoi lake Bwana Mungu, nilijiona mi ni muovu
Nikageuka na kutubu, kwa Kalvarii, ii, ii
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii, ii
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii
Amefuta dhambi zote
Yote kwa Yesu namtolea, ndiye mfalme wa pekee sasa
Na kwa furaha nitamwimbia, kwa Kalvari, kwa Kalvari ii
Jinsi pendo lilivo kuu
Neema ilishishwa toka juu
Alitufanyia wokovu (Kwa Kalvari), kwa Kalvari
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari, kwa Kalvari
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii
Rehema bure na neema, samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua, kwa Kalvari ii, ii
Written by: Walter Chilambo