音樂影片
Walter Chilambo 熱門歌曲
類似的歌曲
積分
出演艺人
Walter Chilambo
表演者
作曲和作词
Walter Chilambo
词曲作者
歌詞
Asante Mungu wewe ni mwema
Umenipa uzima na kunipenda
Moyoni mwangu nina amani tena
Oooh
Nimeacha yote niliyoyatenda
Nimeamua nikufuate kwa maana we ni salama
Mbele yako najinyenyekeza ee Mungu wa huruma
Nimeamua nikufuate kwa maana we ni
Salama nakung'ang'ania nisikuache Mungu wangu
Oooh
Asante kwa kunipenda
Asante kwa kunilinda
Milele nitaimba sifa zako
(Beat)
Niende wapi niukimbie uso wako
Niende wapi nijiepushe na roho yako
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com