音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Iyanii
Iyanii
主唱
詞曲
Ian Oure Okwemba
Ian Oure Okwemba
詞曲創作
製作與工程團隊
Alexis on the Beat
Alexis on the Beat
助理混音師
Waka Waka
Waka Waka
製作人

歌詞

[Chorus]
Pombe
Leta pombe
Pombe
Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe
Leta pombe
Pombe
[Verse 1]
Raha najipa mwenyewe
Leta pombe tulewe
Kila mtu apewe
Tulewe tulewe
Sina doo lakini lazima pombe
Sherehe aibambi bila pombe
Hapa kwa bash tumelewa pombe
Pombe, pombe, pombe
Pombe, pombe, pombe
Shida nikilewa pombe
Nakua muongo sana
(Aki wewe)
Shida nikilewa pombe
Naongea kizungu sana
Shida nikilewa pombe
Dem za watu ni warembo sana
[Chorus]
Pombe
Leta pombe
Pombe
Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe
Leta pombe
Pombe
[Verse 2]
Aya kila mtu aekewe drink basi
We iko wapi tumbla yako,? ndo hii"
Kila mtu hako na pombe, eeh
Kila mtu hako na pombe, eeh
(Mi hapana)
Twende basi
Above the head, (Above the head)
Below the belly, (Below the belly)
Across the nipples,(Across the nipples)
Smooch those nipples, (Mwaa mwaa)
Smooch those nipples, (Mwaa mwaa)
Now swaga that baga, (Uuh-iii)
Swaga that baga, (Uuh-iii)
[Bridge]
Binguni akuna pombe
(Oyoyo)
Ndo maana tunakunywa pombe
(Oyoyo)
Napenda kwa jug sio kikombe
(Oyoyoyo)
Tukunywe tulewe pombe
[Chorus]
Pombe
Leta pombe
Pombe
Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe
Leta pombe
Pombe
Written by: Ian Oure Okwemba
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...