積分
演出藝人
Iyanii
演出者
Mwanaa
演出者
Cedo
演出者
詞曲
Mwanaa
詞曲創作
Ian Oure Okwemba
詞曲創作
製作與工程團隊
Waka Waka
製作人
歌詞
[Intro]
Sema uuh uuh wii yaa yaa
One time
We waka waka (Waka)
Cheza doba zi tu nice, ju zetu zime nice
Mwana
Sema uuh uuh wii yaa yaa
Kwa majina ni Iyanii (Nayo) Tunakujua !
Cheza doba zi tu nice ju zetu zime nice
[Verse 1]
La la la ako ka peng nika area
Na kakitaka me huichapa (chapa)
Nakula kiapo ndai hapa (Ajee)
[Verse 2]
Sit don pon it nkirusha mamistari
Viungo we nengua, mwili hatari
Whine n coach nishikishe mali
Twende maeneo, chuma ilale ndani
[Verse 3]
Iyanii bad boy kijana wa Ingo
Napenda njugu na mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha mende ama wagido
[Verse 4]
Uuh uuh wii yaa yaa
Kufa dereva makanga
Leo ni kifo cha mende
Sema uuh uuh wii yaa yaa
Leo tuna vunja kitanda
Kudonjo kudunda na yeye
[Bridge]
Nayo nayo nayo! (Anguka)
Nayo nayo nayo! (Dunda)
Nayo nayo nayo! (Mimi)
Nayo nayo nayo!
[Verse 5]
Wayaya
Maji imepatana na wire ya stima
Hata haya sina, naipiga ki John Sina
When I'm done you can't see me
[Verse 6]
Vuta kaya harufu mbaya
Ni ya majenge na mandukulu mbaya
Unaishi wapi yahaya (Aaii)
Unatoka wapi Ulaya
[Verse 7]
Nyash yake soft kama mattress
Naipapasa inanitoa stress
Kama mzinga nitakabless
Na majirani wata witiness
[Verse 8]
Iyanii bad boy kijana wa Ingo
Napenda njugu na mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha mende ama wagido
[Chorus]
Uuh uuh wii yaa yaa
Kufa dereva makanga
Leo ni kifo cha mende
Sema uuh uuh wii yaa yaa
Leo tuna vunja kitanda
Kudonjo kudunda na yeye
[Bridge]
Nayo nayo nayo! (Yee)
Nayo nayo nayo! (Dunda)
Nayo nayo nayo! (Mimi)
Nayo nayo nayo!
[Refrain]
Aahh wachaa bana
Pull up manake rudia tena!
[Chorus]
Uuh uuh wii yaa yaa
Kufa dereva makanga
Leo ni kifo cha mende
Sema uuh uuh wii yaa yaa
Leo tuna vunja kitanda
Kudonjo kudunda na yeye
Written by: Ian Oure Okwemba, Mwanaa

