album cover
Champe
289
Pop
Champe 由 AfricaCentric Entertainment 於 2022年10月19日發行,收錄於專輯《Champe - Single》中
album cover
發行日期2022年10月19日
標籤AfricaCentric Entertainment
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快
BPM

積分

演出藝人
Nadia Mukami
Nadia Mukami
演出者
Lexxie
Lexxie
演出者
Tk Lyon
Tk Lyon
演出者
Zaituni Wambui
Zaituni Wambui
演出者
詞曲
Nadia Mukami
Nadia Mukami
詞曲創作

歌詞

Unajiita flyboy unajiona finest, unachochwa simba kumbe lioness
Mi si zuzu, Nadia ni toughest, hutanicheza cheza kama kina Zaituni
Kutwa kujimwaya, mwanaume gani huyu hana haya
Daily analamba lips, anadondosa kisha anaomba lift
Natamani ningejua, kuwa utanicheza
Ningekuwa nimebaki solo nisingeumia, lakini nimejifunza sa niko sure
Sikutaki taki, wee ndo uende mi ntabaki
Mwendo kasi-kasi, Nadia Zaituni wapi pasi
Unajiona champe-champe, wape-wape, buda we jibambe bambe, bambe-bambe
Unajidai champe-champe
Siwezi kuwa klande-klande
Attention, attention
No more question ni wetu sare tension
Niaje msupa call me lion kwa jungle
Najua mastingo tuanze deep hadi shallow
Si ni juzi Lexxie alikwambia hallo
Leave that alone siezi teleza so narrow, we ni principal hao wengine macopy,
Lexxie baby mapenzi kwako ni konki, mi sitamess, mi sitacheza utaniona daily kwa ploti,
Ka love ni kesi basi nifikishe koti
Uchumi ni mbaya staki stori za kushare
Kwa hii chama mami ju we ndo chair
Mi ntakupea sikuchochi hi ni dare, pale Nyayo vile ulipita uliacha Tk akistare
Nilikuliza ukasema ni mapepe za insta
Ukanituliza ukanidanganya wewe ndio mister
Umeniaibisha nitaficha sura wapi nauliza
Hii imeisha kweli wewe umechoma picha
You’re a liar-liar-liar
Your pants on fire-fire-fire
Hata huna haya-haya-haya
Leo umepatikana
Unajiona champe-champe, wape-wape, buda we jibambe bambe, bambe-bambe
Unajidai champe-champe
Siwezi kuwa klande-klande
Written by: Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...