音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Nadia Mukami
Nadia Mukami
演出者
Arrow Bwoy
Arrow Bwoy
演出者
詞曲
Nadia Mukami
Nadia Mukami
詞曲創作
Ali Yusuf
Ali Yusuf
詞曲創作
製作與工程團隊
Bullet
Bullet
製作人

歌詞

[Verse 1]
Jamani mimi na baby wangu
Ni ukweli huwanga sisi tunapendana sana
Mimi na baby wangu
Kuna time na sisi tunagombana sana
Mwenzenu mimi na baby wangu hatuko perfect
Jamani mimi na baby wangu
Mambo waziwazii, eeh
[PreChorus]
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachana na hatuachani
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachani na hatuachani
[Chorus]
Milele mi na wewe sitaki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
Milele mi na wewe sitaki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
[Verse 2]
We fight ya, we make up
I wanna see your face when we wake up
And I like it when you hold me
Forever baby you’re my lover
Haya mapenzi yana wenyewe
Nisharusha mikono mara kadhaa
Ama mwenzio umeniroga wewe
Ju kukuwacha imekataa
[PreChorus]
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachana na hatuachani
[Chorus]
Milele mi na wewe staki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
Tuzeeke mi na wewe staki mwengine
Baby (Aye, aye), oh baby (Aye, aye)
Milele mi na wewe staki mwengine
Baby (Aye, aye), oh yeah (Aye, aye)
[Outro]
Tuzeeke mi na wewe staki mwengine
(Aye, aye) oh baby (Aye, aye)
Milele mi na wewe sitaki mwengine baby
Written by: Ali Yusuf, Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...