音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Marioo
Marioo
演出者
詞曲
David Hampton
David Hampton
作曲
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
詞曲創作
製作與工程團隊
Tony Duardo
Tony Duardo
製作人

歌詞

Mnanipenda yes papa, aah yes papaa
Mnanikubali yes papaa, eeh yes papaa
Si mnanipenda yes papa, aah yes papaa
Mnanikubal yes papa, eeh yes papaa
Sina noma na Dangote, sina noma na King Kiba
Sina noma na Konde boy, sina noma na Vanny boy
Nikisema mmh Marioo, mnasema aah huna baya
Sema mmh Marioo, aah huna baya
Yani kamba juu ya kamba miwa kama Fei toto
Kila kona me natamba mawe yote ya moto
Masela wangu ooh tulewe leo, ooh tulewe leo
Masela wangu ooh tukunywe leoo, ooh tukunywe leo
Kwa sababu sina noma na Chibu Denga, sina noma na King Kiba
Sina noma na Konde booy, sina noma na Chuii
Nikisema mmh Marioo, mnasema aah huna baya
Nikisema mmh Marioo, aah huna baya
Written by: David Hampton, Omary Ally Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...