積分

演出藝人
Jaivah
Jaivah
主唱
Marioo
Marioo
主唱
詞曲
Jaivah
Jaivah
詞曲創作
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
詞曲創作

歌詞

[Verse 1]
Awee, awee
Awee, awee
Awee, awee
Awee, awee
[Verse 2]
Na kila siku mnaniona natafuta
Na mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa, usiku kucha
Nasebenza, sebenza, sebenza
[Verse 3]
Na kila siku mnaniona natafuta
Na mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa, usiku kucha
Nasebenza, sebenza, sebenza
[Verse 4]
Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali (Usijifanye unanijua)
Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali
[Chorus]
Nasema tena pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eish oya pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eeh
Nasema pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eish oya pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
[Chorus]
Wonke umuntu ithi Jaivah, Jaivah (Ithi Jaivah, Jaivah)
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah (Ithi Jaivah, Jaivah)
Everybody say Jaivah, Jaiva (Say Jaivah, Jaivah)
Watu wote sema Jaivah, Jaivah (Jaivah, Jaivah)
[Bridge]
Mmh aah, ayayaya aah
Mmh aah, ayayaya aah
Mmh aah, ayayaya aah
Mmh aaah, ayayaya aah
[Verse 5]
Alooh, mmh, shii
Awee kulanina
[Verse 6]
We si unanisema vibaya (Kulanina)
Aah si unasemaga hunipendi (Kulanina)
Sa mbona ukiniona unagwaya (Kulanina)
Unang'ata unapuliza (Ndio kumaanisha nini)
[Verse 7]
Ama unataka chapati (Ama unataka chapati)
Ama unataka wolololooh (Ama unataka wolololo)
Ama unataka kutrend (Ama unataka kutrend)
Ama unataka wolololooh (Ama unataka wolololo)
[PreChorus]
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na nyani mbona anakutoa roho
Oh, oh, oh (Atakutoa roho)
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na nyani mbona anakutoa roho
Oh, oh, oh, oh, oh, oh (Atakutoa roho)
[Chorus]
Nasema tena pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eish oya pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eeh
Nasema pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
Eish oya pita kule
Pita, pita, pita, pita, pita, pita kule
[Chorus]
Wonke umuntu ithi Jaivah, Jaivah (Ithi Jaivah, Jaivah)
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah (Ithi Jaivah, Jaivah)
Everybody say Jaivah, Jaiva (Say Jaivah, Jaivah)
Watu wote sema Jaivah, Jaivah (Jaivah, Jaivah)
[Refrain]
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na nyani mbona anakutoa roho
Oh, oh, oh (Atakutoa roho)
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na nyani mbona anakutoa roho
Oh, oh, oh, oh, oh, oh (Atakutoa roho)
Written by: Jaivah, Omary Ally Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...