歌詞

Mimi wewe mimi ntakufa na wewe Mimi wewe mimi ntakufa na wewe Ni baraka za mungu za malaika Zimefanya mi nawe tujuane Sinashaka maana imeandikwa Ndege warukao wafanane Sisikii la muadhini wala la mnadi swala Tumelishana yamini kwa dua sio kafara Sio wanyuzi tisini wala buku shidala Mambo yakuzini zini tuwe halali twahara Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ooh usingizi wangu zeze la kitandani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Aiih makopa kanimwagia makopa jama (Aiih makopa kanimwagia makopa jama) Aiih makopa kanimwagia makopa jama (Aiih makopa kanimwagia makopa jama) Ma ma ma ma kanimwagia makopa jama (Aiih makopa kanimwagia makopa jama) Mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama (Aiih makopa kanimwagia makopa jama)
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out