歌詞

Wakali wao yaoyao, ey ey ey ey C unajua ni genje ni bwaya Ahaha ah wah do dem Mavo on the beat And it's bad to be badder Psycho, Mbogi Genje Iano Ranking under Mickey Na Calif (Mavo on the Beat) Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah Guzling tispo ni ya kibla Ditni dibla ile genje Inigri mi hurieng ka di shok dem Mambeko zinamuok ni mogatha Kanairo govana ni mjamo Lagunya skomo ni makibre Inademia nimemuok ka Palmer Nikipaa kila yout ni dangulo Kwa ngife baroda imemuokre Ma TBN kuwabambua mashashken Kamilia akimsnadi poacher nyagu Militan huwa riau tu frontline Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah After umenimochoa itabaki nimezitoka Kileo ujikojolee si nitakuokota Napata msupa kwa counter tu Ma-quarter Ako na jegi 20 litres si ni kama naota Kumsuka si ni kama na-order Kuniagizia nikajipata tu matora Mbulu biggy ameseti movie ya horror Ameseti mkono kwenye bakora Utadhani anadrive mkono ya left kwa gear Ashaniita dear amenitolea G Bag Fine figure ananivutia Mtoto akililia wembe unampatia Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah Na kwa kichwa ninaburn mambichwa Nasunda kwa kichwa nadara nashika aah Nawacheza kama bano bano Niko tu za lando lando Anameza kama tembe, kama tembe Ameiva na - jishikia sembe Niko rada uko manyu niko lembe Ni Konyagi aah acha nikembe Ninyonye ka maembe Ng'ang'o ng'ang'o Na kangwai ngwai ng'ang'o Ng'ang'o ng'ang'o Na kangwai ngwai ng'ang'o Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah Piga taxibla lakini daily namochoka Calif vile nadrip kama pipe imetoboka Mistari iko kwa lips utadhani mogoka Na huwezi nipata trip Sunday Monday niko mboka Ka daily niko hustle najaribu kuomoka Ndio doba yangu ichune shinda sound ya itoka Mistari kama rive shortgun mi bazuka Ni mbali mi naenda oh it's time nimetoka Ju nimechoka toka mboka Niko handas ju ya mogoka Walidhani hatutaomoka Luku safi kata shoka Pesa ziko kwa kibenje Lugha safi cheki senje Ka si ganji kata tenje Goodbye huwezi nipata Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti Zimepanda zimeripoti Niko jaba rira na njoti Kando kishada na ng'ang'o ya fourty Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
Writer(s): Antony Otiti Odhiambo, Teddy Owuor Ochieng, Malak Ayuen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out