歌詞

Lazizi wangu we Zawadi nono kutoka mbinguni Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby) Nikikuwaza usiku silali Nikikuona na wengine nashikwa na wivu Naomba unipe number yako nikuvutie wire Nikupeleke Java Tunywe kahawa Tukizubaa dubaa dubaa Mukhali wanje we Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby) Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye Nikikuona na wengine nashikwa na wivu Naomba unipe number yako nikuvutie wire Nikupeleke Java Tunywe kahawa Tukizubaa dubaa dubaa Zunguka zunguzukane Nikitafuta kama wewe Mi nafeel so nice Unanipa mi amani Mbele Baby Sioni njia bila wewe Wewe... eeeh Lazizi Nikikuona na wengine nashikwa na wivu Naomba unipe number yako nikuvutie wire Nikupeleke Java Tunywe kahawa Tukizubaa dubaa dubaa Mazoe manana (Mazoe manana ah) Kadonangaeuta na lola, Na Kanisakayo sheri nanga Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi) Nikikuona na wengine nashikwa na wivu Naomba unipe number yako nikuvutie wire Nikupeleke Java Tunywe kahawa Tukizubaa dubaa dubaa
Writer(s): Robert Wawero Kiboy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out