歌詞

Jana usiku, niliota ndoto, Africa nzima, kuliwaka moto x2 Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa, Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri, Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, Kama umemea, Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele, Kona to kona, tukiimba, Aaaaaaa, aaaaaaa 2 Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani, Haiyaiye, Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa x2 ***END***
Writer(s): Wambui Ngugi, Maureen Muthoni Kunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out