歌詞

Nimeketi kwenye kona, muziki ndio soda, Ya kiu cha moyo wangu, Kiangazi kinachoma, barafu sio dawa, Ya tiba ya moyo wangu, Picha zako zanituliza, Sauti yako nayo naisikia, Natakamie, Nikupe maua, niweze kupeperuka, Nifike kwa jua, nipate kukuona, Mama, papa, 2 Nimeketi kwenye kona, moyoni sina supa, Ya gari ya moyo wangu Ndugu zangu wanalia kuomba tunaomba, Hizi enzi za machozi, BRIDGE: instrumental. ***END***
Writer(s): Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga, Wambui Ngugi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out