Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Upendo Nkone
Upendo Nkone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Upendo Nkone
Upendo Nkone
Songwriter

Lyrics

Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie Atakushindia Yesu Mwambie. Heeh. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Usitishwe na shida ndugu, Wala Magonjwa. Iwe ni kupungukiwa fedha, Hayo yote ni kwa muda tu. Ni lazima ujipe moyo, Yo Yo Yo Yo Umwamini Mungu wako, Anaweza kukufanikisha, Anafanya njia pasipokua na njia. Mwambie Yesu Eh. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Wakati mwingine ndugu, Umeshindwa hata kuomba, Moyo wako mzito sana una huzuni sana moyoni. Nakuambia usife moyo. Oh Oh Oh Oh. Umuachie Mungu wako, Ataondoa huzuni yote, Yeye ni Mungu wa amani atakupa amani yake. Atakupa furaha yake moyoni, Telee. Yeeh, Mwambie Yesu. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Hata elimu yako wewe, Haiwezi kukusaidia, Umaarufu wako, Hauwezi kukusaidia, Hata ukiwa tajiri, Ni bure tu baba. Hata fedha ulizonazo, Kisomo ulichonacho, Haviwezi kukusaidia kitu chochote mama, Muombe Mungu wako anaweza kufanya yote. Elelelee Mwambie Yesu wako. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Mwambie Yesu, Mwambie. Anaweza yote Yesu, Mwambie. Atakushindia Yesu Mwambie. (End)
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out