Lyrics

Ooh Mbali na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Ooh Mbali na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Ooh Mbali na kwamba Shedraki na Abedinego Walitupwa kwenye tanuru la moto Watu wakajiuliza sana, tulitupa watatu Wanne ametoka wapi? Askari wakajiuliza, tulitupa watatu Wanne ametoka wapi? Kumbe katikati ya taabu Mungu yupo Katikati ya mateso Mungu yupo Katikati ya taabu zako Mungu yuko Katikati ya vita kubwa Mungu yupo Hawezi kukusahau, Hawezi kukukimbia Oh Mungu wetu hawezi kukusahau Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usife Moyo ndugu wewe Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usikate tamaa Mungu hawezi Mungu hawezi, hawezi Mungu hawezi kukusahau Usijione uko pekee yako, aah Kwa nini umepanga kujiua wewe? Kwa nini umepanga kuikana imani yako? Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji? Unaona maisha yamefika mwisho Kwa nini umepanga kujiua wewe? Kwa nini umepanga kuikana imani yako? Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji? Umehangaika sana ndugu yangu Ooh unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako Unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako Ninalo neno nataka kusema na wewe Ninalo neno nataka kuzungumza nawe Hata upitie shida ndugu yangu Hata upitie magumu ndugu yangu Mungu yuko na wewe katikati ya majaribu Mungu yuko na wewe katikati ya magumu Mungu yuko na wewe usikate tamaa Mungu yuko na wewe usipange kurudi nyuma Mungu wee hawezi kukusahau Mungu wee hawezi kukukimbia Mungu wee hawezi kukuacha wee Haweezi haweezi, hawezi Mungu Mungu hawezi (oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usife Moyo ndugu wewe Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usikate tamaa, usirudi nyuma Mungu hawezi, hawezi Mungu hawezi kukusahau,usijione upo peke yako Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe Mungu hawezi, hawezi kukusahau Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe Mungu hawezi, hawezi kukusahau Wanadamu wanaweza kukusahau Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu Wanadamu wanaweza wakakukimbia Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu Wanadamu wanaweza wakakutenga Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu Wanadamu wanaweza wakakutaa Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu Haweezi Mungu wangu Haweezi Mungu wangu, aiyoo Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usife Moyo ndugu wewe Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) Usikate tamaa, usirudi nyuma Mungu hawezi, hawezi Usinung'unike Mungu hawezi kukusahau
Writer(s): Christopher Mwahangila Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out