Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
Songwriter

Lyrics

Nampenda kama ringtone Hana maringo, binti mtamtam Swagga zake ziko simple Hapendi bingo, haniishi hamham Niko naye sina nyimbo, nikatoa single Mpaka sasa nna album Mimi mkali wa mitindo hata hategi mingle Kitandani mashamsham Kila siku mi niko naye Ila siku hizi penzi linatia fora eh Hata mama na papa eh Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Kila siku mi niko naye ila Siku hizi penzi linatia fora eh Dem mama eh dem papa eh Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh Baadae eh, niko naye heey Baadae eh, niko naye heey Unang'aa bila lotion mkali wa fashion Baby kama umechorwa eh You got a temptation sitaki nikukose Matajiri wakanipora eh Penzi langu sio boshen usijipe question Mimi ndiye mume bora eh Wananipigia mission ili unitose Nimemuachia mola eh Kila siku mi niko naye Ila siku hizi penzi linatia fora eh Hata mama na papa eh Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Kila siku mi niko naye ila Siku hizi penzi linatia fora eh Dem mama eh dem papa eh Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh Baadae eh, niko naye heey Baadae eh, niko naye heey Raha zote kwako napata, ai, napata Umenichanganya nadata, si, nadata Raha zote kwako napata, ai, napata Umenichanganya nadata, si, nadata Kila siku mi niko naye Ila siku hizi penzi linatia fora eh Hata mama na papa ehe Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Kila siku mi niko naye ila Siku hizi penzi nilatia fora eh Dem mama eh dem papa eh Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh Baadae eh, niko naye heey Baadae eh, niko naye heey
Writer(s): Ommy Dimpoz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out