Lyrics

Tupogo Bado tupo (pozi kwa pozi) Tupogo Bado tupo Tunachopata ni chetu me na yeye tu Kiwe kidogo Kikubwa ni majaliwa Hata kama kidogo Kikubwa ni majaliwa Ila mimi na ye tupogo aanh Bado tupo Nasema mimi na yeye tupogo aanha Bado tupo Na bado niko nae tupogo aanha Bado tupogo Mbona bado niko nae aanha Mpaka sasa nadunda nae aanha Yule yule wa nai nai na baadaye aanha Walisema sitadumu nae aanha Ona vichwa chini wamenuna aanha Ya kwetu mbele yao wao yamedumaa aanha Tunachopata ni chetu me na yeye tu Kiwe kidogo Kikubwa ni majaliwa Hata kama kidogo Kikubwa ni majaliwa Ila mimi na ye tupogo aanh Bado tupo Nasema mimi na yeye tupogo aanha Bado tupo Na bado niko nae tupogo aanha Bado tupogo Mamae beshinae beshinao tupogo Papaa beshinae beshinao bado tupo Aah dimpoz j martin See how we're sweet like tomato Aah dimpoz j martin See how we're sweet like tomato Anyhwhere we there So we do raga raga raga eeh eeh Anywhere we enter So we do raga raga raga eeh eeh Tunachopata ni chetu me na yeye tu Kiwe kidogo Kikubwa ni majaliwa Hata kama kidogo Kikubwa ni majaliwa Ila mimi na ye tupogo aanh Bado tupo Nasema mimi na yeye tupogo aanha Bado tupo Na bado niko nae tupogo aanha Bado tupogo Eeh eeeh eeh eeh tupogooo Dimpoz kwa poz zkp zacha Chere chere chere chere na poz kwa poz Chere chere chere chere j martin Chere chere chere chere kwa wote Mobenga
Writer(s): Ommy Dimpoz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out