Lyrics

Mmmmmmh... Aaaah... Huu wimbo ni wako baba! Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako nitakumbuka Ooooooooh... Ooooooooh... Okay Siwezi wadanganya Mi sikuwa poa na my father Nilijionea kwa macho zangu Akidissagree na mother Kifaranga itakuwa jogoo Huonekana yai kitagwa I was a kid ni '93 Naikumbuka kama jana And that why (rest his soul) I never talk about him Na nilipromise mum next day Nitaenda kumwona hosi Deep within I was bitter Jua kadhaa zikapita Machozi kwa giza But nasmile ni disguise Ati nimwache apone kwanza Ndio apate nguvu ya ku-apologize Hadi alitumana I always blame myself for that Fursa tu Nikakataa kusema goodbye to dad Hio kitu huniuma hadi wa leo Wimbi zangu zimepotea kwa uteo Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Wewe (papa papa papa) Wewe (Papa papa papa) Wewe (Papa papa papa) Wewe (papa papa Papa) Hata nikisema asali mara ngapi Utamu haitafika kwa mdomo Ndio kitu niligundua vile tu Nyi mlikuwa wadogo Saa hii mi ni father of two Before mzaliwe mlikuwako news Naomba baadaye mtanielewa Kwa saa hii mi nitawalea Mnatoa meno lini? I wish ningekuja na manual Plus na-respect mama zenu Vile situation walihandle Tumedissagree Tumego for days hatujaongea Hata maji sakafuni After a day inapotea Nawish singeido But nawaskiza "its so good!" Na Mimi sio perfect Hakuna moment naregret Busy kwa stage na onset Ndio muwe na chakula kwa plate Nawapenda Nko njiani Kwangu everyday ni father's day
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out