Lyrics

Mmh lava love lie, mmh lava love lie Mmh lava love lie, woh, woh, woh Mmh woh, woh, woh Twende nikakutambulishe nyumbani yeh Twende tukawaone dady na mami yeh Twende nikutambulishe nyumbani kwani Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani Yeah, aai yai yah After Dodoma niliamua sitawaipenda Hawa mabinti wengi nao, walinitenda Then nikaamua ni yeye yule wa kiwewe Tamaa nayo mingi akaamua anicheze Ungejua navyo kuchukia Naskia bibilia husemaa yule alikutendaa Nafasi msamehe kama unampenda Na nikienda zangu, we jua natenda wema Nimpe mda kwa jiko nione kama ntakuadema We ni mkali, mkali, mkali, mkali Na nilichoka sana na ubachelor Mara nakula kwa hoteli kanjo ametokea Supu ya nyama transparent maji imeongezewa Nguo zangu chafu mgongo umebebmbea Kuja nami nimeamua tutaelekea Mom na dad wanatungoja, kwako najitetea Twende nikakutambulishe nyumbani yeh Twende tukawaone dady na mami yeh Twende nikakutambulishe nyumbani kwani Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani Ok, aai yah yah Si umekua haupendi vile nakuficha ka siri Twende way way Western niku intro kama bibi Ndwele, yaliyopita si unajua Nywele, na like body shape na nyuma We ni mzuri hauna kifani Na ukipika unamake hilton ikae ka kibanda Supu thick, sijui ka ulitumia nyanya Uta addition bado sofa hufunikwa na kitamba Home to soko, mtaani hapendi kuranda Aki ni wewe kweli? Past one year, mother amekua on my case Anajua the Ombimas hao huanga na taste We si dem hivi hivi, hivi hivi So beba bagi bibi, tukutane jiji Natamani mtoi aseme daddy, gigigigi Twende twende mami jibu inabidi Twende nikakutambulishe nyumbani yeh Twende tukawaone dady na mami yeh Twende nikutambulishe nyumbani kwani Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani Aii yah yah Nimeamua kabisa (kabisa) aah ni mimi na wewe (Mimi na wewe) Kama ugali na chumvi (aah) ntakula na wewe We ndio wangu lazizi (lazizi) usinishushe thamani We ndio wangu lazizi jamani mani yeh yeah Wazazi wameeka tick, we jua ni kwisha mi frame We converse tumekamilisha picha nimekamilika Asilmia zaidi ya mia unasitasita ka unapenda Wacha ficha ficha Twende, tuimake it official kama miss mimi nikuapishe Eei eei ieei eei twende Twende nikakutambulishe nyumbani yeh Twende tukawaone dady na mami yeh Twende nikutambulishe nyumbani kwani Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani Aii yah yah Twende nikakutambulishe nyumbani yeh Twende tukawaone dady na mami yeh Twende nikutambulishe nyumbani kwani Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani Aii yah yah Twende twende, twende twende Twende twende, twende twende Twende twende, twende twende
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out