Lyrics

Heyyyyy, haaah, wooooh! Mambo vipi everybody See right about now, you are rocking with the best OG, Roma, Stamina Let's go!! Yo! Si mwingine Mr Bonventure hapa, Straight toka Bongo, mpaka Kisumu Naivasha Nairobi, Mombasa kila kitu gooda gooda Na muda umefika sasa kutuma posa kwa Huddah Kucheka cheka na ma stingy sitaki Wamesha chezea blocku kwenye simu hawanipati Busy natua show collabo za nchi za kati Nashangaa unae nidisi na huna hata mchongo wa laki Madem wawonge nani, labda bundle la chuo Hatamkisema sisimami, freshi sinanga kituo Mjini kupambana, utoke jasho soga nanda Ukileta stori unabao, na shauri ukajenge banda Nilizaliwa niwe Tupaci mmmh, Tupac wa Bongo Sema nikanyimwa six packs, na kichwani sina dongo Bila mkuyati wala vumbi la Congo Madem wanasema smart, yana flesh haina zongo, Okay... Baba, ngida babayaro Rostam collabo na baba yao Wezo wao, style zao Napigwa na fikira zao So wacha watu dissi na sisi sio size zao Aaah, Nairobi to Dar Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh Hapa tu kazi, vile inafaa OG collabo na Rostam... heeeeeey Aki ya nani now you know Aki ya nani now you Na na na now you know Na na na now you Aki ya nani now you know Aki ya! Na na na now you know Na na na now you know... Ya'll Nahawakuchanuliwa ni akina na nani, Ndio sahii wana worry Tume pull up na ndai na ma lorry Zimejaa ma OGs killas walahi mpaka shorties Kazi saa hii nikutuchambua ki Saida Karoli They call me Mugabe zile pande za Dodoma, Ata Zimbabwe nina Stamina ya Roma That means I can't fall, niko firm ki simiti Khali me na stand tall, ju ya fans na sikiki... Omollooo! Nikipita mtaa vile wasupaa wana stare They know I got the doh me naeka duka jo I swear Wanapenda ile lugha nawapea I don't do cheap liquor, huoni chupa za Belaire Incase i'm in the stu.then ni verse ndo nachana Busy grinding mpaka shati iko na jasho ya jana... Yeahhhhhh! You on the top, hizo vako wachana I've been rappin toka enzi za Vasco Da Gama Me ni msharp toka zama, niko class moja blunder Kwa darasa ya mziki me ni ka bus ndo kwa maana Kila wakati nachora nawacha black board alama Kama Castro I'm bad boy na bado nasimama Ujumbe itafika toka mtaa na i'ma YOLO I guess that's why nikipiga buzz wana follow. I'm only Kong, we umekaa kwa gondoro I'm a star me na paa mpaka Dar hadi Molo Aaah, Nairobi to Dar Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh Hapa tu kazi, vile inafaa OG collabo na Rostam... heeeeeey Aki ya nani now you know Aki ya nani now you Na na na now you know Na na na now you Aki ya nani now you know Aki ya! Na na na now you know Na na na now you know... Na siyo Zimbabwe tu Kavuka border kwa mkaburu Ukiona na leta ubabe ujue hawapendi niwe huru Na nanyataa, mpaka Kenyattaa... Uhuruuu Natekenya paa kwa paa... so piga nduru Na hii verse nawachinja You guys yo wanna made it Mnataka kupiga binja huku mnatafuna githeri... hawataweza Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli Mbona mnatoka mapovu, mme panic na mme faili Me mkatoliki nalindwa na damu ya Christo Leo Papa Jones umekutana na Papa Benedicto So kaloge Kisumu nikulogee Mombasa Ujue mimba ni sumu mheshimu gumba na tasa... iiiii kwetu Tanzania! Ma afande hawananga peacee Niko Kenya na iko tungi na la mrungi na polis Usi download pornograph, kwa WiFi ya msikitii Hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti Na sina mistari mikali juu tu niliandika ghafla Ila na flow mbaya kama jiko yakipiga chafya Ukijichocha me naleta mashauzi Na tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi Aaah, Nairobi to Dar Tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man... eeeeeeh Hapa tu kazi, vile inafaa OG collabo na Rostam... heeeeeey Aki ya nani now you know Aki ya nani now you Na na na now you know Na na na now you Aki ya nani now you know Aki ya! Na na na now you know Na na na now you know
Writer(s): Betty L Leach, Larry Harrison Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out