Lyrics

Mmmh oooh laaa yeah yeah yeah Thamani yako, uzuri wako, naujua mwenyewe Sikuachi pengine uniache wewe Alimradi unanipenda, peke yetu tutaishi kwenye dunia Sikuachi pengine uniache wewe Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu Ntakulinda mpenzi wangu Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu Hmmmn Ntakulinda mpenzi wangu Achana nao"nao" achana nao"nao" ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya Achana nao"nao" achana nao"nao" ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao Mmmmh Oh yeah Huna habari, jinsi gani moyo wangu unaupendeza We ndio furaha, yangu we ndio amani yangu We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu Ntakulinda mpenzi wangu We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu Ntakulinda mpenzi wangu Achana nao"nao" achana nao"nao" ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya Achana nao"nao" achana nao"nao" ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu Nitakulinda mpenzi wangu
Writer(s): Otile Brown Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out