Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter

Lyrics

Nisha kuwa na rafiki zamani Nikamwambia siri zangu za ndani Akaziweka hadharani Tena nikakuwa na rafiki wa kufa kuzikana Pale pesa zilipokwisha naye akanikwepa Nishachumbia mpenzi wangu Nilipopata mimba akasema sio yangu Leo mi nacheka na ninakula nao Ila wananitendea Ninajenga kwao ninaimba nao Ila wamenigeukia Mi nacheka na ninakula nao Ila wananitendea Ninajenga kwao ninaimba nao Ila wamenigeukia Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee Wameniwekea mitego Nisisonge mbele Wanatamani vyangu viwe vyao Wananionea gere Wamengoja nisote wacheke Nisote wasema Wanangoja nishuke mziki waseme Ooh waseme Leo mi nacheka na ninakula nao Ila wananitendea Ninajenga kwao ninaimba nao Ila wamenigeukia Mi nacheka na ninakula nao Ila wananitendea Ninajenga kwao ninaimba nao Ila wamenigeukia Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee Cheza kama umepata kazi wee Cheza wakuone umenunua gari Cheza kama umepata kanyumba wee Cheza kama una pesa za kwako Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee Roho mbaya, ila tu naishi nao wee Roho mbaya, hata wengine damu zetu wee
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out