Music Video

Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz - Katika (Official video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Katika (feat. Diamond Platnumz) - Single by Navy Kenzo
ALBUMKatika (feat. Diamond Platnumz) - SingleNavy Kenzo
Listen to Afro Nation featuring Navy Kenzo
PLAYLISTAfro NationApple Music African
Listen to Navy Kenzo Essentials featuring Navy Kenzo
PLAYLISTNavy Kenzo EssentialsApple Music African

Credits

PERFORMING ARTISTS
Navy Kenzo
Navy Kenzo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
Mavogy
Mavogy
Songwriter
Emmanuel Mkono(Nahreel)
Emmanuel Mkono(Nahreel)
Songwriter
Nahreel
Nahreel
Composer

Lyrics

Yeaaahh yeah. oh na Nahreel on the beat Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Ninamidadi ka ya rumba Kibao kata kinyonga Mfukoni namavumba Nungu chini linasunta Yani bo bo bo bo Kananikoshaga ro ho ho ho ho Yani nasimama de de de de Kakitingisha wo wo wo wo wo Baby girl dance for me one time (secreto) Miono feni kunata (secreto) Tena jifunge na ngata (secreto) Zile za kibao kata (secreto) Baby girl dance for me one time (secreto) Miono feni kunata (secreto) Tena jifunge na ngata (secreto) La la la la la la la la... Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Yani katot ni, kako ni ni ni Kamekazika ni ngi ngi ngi Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwi Kana misifa shangi ngi ngi Nilikavizia kitamboo (aaah eh) Loe kamenasa chambo (aaah eh) Nkapakia na mgando (aaah eh) Kajegeje karambo (aaah eh) Kana michenzo ngomani Sindimba izombe Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang'ombe Yani eh eh eh eh eh eh Kananikoshaga roho oh oh oh Waga nasimama de de de dee Kakitingisha wo wo wo wo Oooh yaaah, Ooh nadendeaa Yani siwezi kutembea Che cheme na checheme Yani hadi na legea Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Maumivu naugulia Mwiba ukizama nahisi mateso Utamu mang'ang'ania Ndizi kwa nyuma napata mchecheto Nakuna Nazi kwa mkongojo (aaah eh) Naunga mchuza wa sotojo (aaah eh) Una la rosti rojo rojo (aaah eh) Mikunjo Fulani wa bogojo (aaah eh) Kibao kata tenteme tenteme Kilinge ni kuzama uchutame Uwezi pata we mpaka usimame Haichagui mwembamba mnene Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto) Nikachezeshe samba (roketo) Na kalivo na body kinanda (secreto) Tunguli zimenibamba (mobetto) Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Emmanuel Mkono, Mavogy, Aika Marealle Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out