Lyrics

Konde boy they call me Burna Platnumz Eeh ehh eh eeh Are you dey make me, sit down dey sing dey song (daladala) You can't dey make me, feel like I do you wrong (jagajaga) If you want I might go give you more (jalajala) Today today, you go give me love (sawasawa ooh) Eeh eeh Nasifiwa kwa mapenzi na madem Wanapagawa mpaka wananiita handsome Burna Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Nasifiwa kwa mapenzi na madem Wanapagawa mpaka wananiita handsome Konde Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita Hadi kaburu kwa mandera Rudi kwa bibi kinondoni Amber Lulu kunja dera Mwanangu Gigi simuoni, aje! Aah inama (mama) Aah inuka (beiby show them) Aah inama (hehehee) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down beiby) Aah inuka (give it to them beiby) Aah inama (heeehe) Aah shika ukuta Ruksa kutunza Sio sura sio shepu Mi nikimuona taabani Hivi Sinura, Sepetu Ama nimuite jina gani? Beiby gyal your body killer (wee) Mwendo kama caterpilar Miguu ya pombe tequila She dey bust my mind Ba mutu ba Congo kabila Madongo lunyamila And she so sweety, Vanilla She dey bust my mind (oh oh oh) No body sexy like my beiby (mmmh) Tena mwepesi akiwa kwa bedii... Hadi kaburu kwa mandera Rudi kwa bibi kinondoni Amber Lulu kunja dera Mwanangu Gigi simuoni, aje! Aah inama (mama) Aah inuka (beiby show them) Aah inama (hehehee.) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down beiby) Aah inuka (give it to them beiby) Aah inama (heeehe) Aah shika ukuta (brr owkey) Ruksa kutunza Oya gyaldem, toto nyau poli Ana vimacho mlegezo gololi Katika game, funga tu goli Hatumalizagi mchezo ukae goli Kilima kilima (panda kilima) beiby kilima (chii) Kisima kisima (mamba kisima) naingia kisima Nizame mpaka chini (ooooh...) Ebu, yaani katoto kachafu kama bata (eeeh...) Ah ah, nami nakafanya ndafu nakang'ata Salamu ziende kwa Wanjala Doni, Masha, kitasa kwenye bunyeru Waambie simba kacharara Anataka msambwanda kwa buku jeru, aje Aah inama (mama) Aah inuka (beiby show them) Aah inama (hehehee.) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down beiby) Aah inuka (give it to them beiby) Aah inama (heeehe) Aah shika ukuta Ruksa kutunza Eeeh eeh Nasifiwa kwa mapenzi na madem Wanapagawa mpaka wananiita handsome Burna Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita handsome (Brr owkey) Nasifiwa kwa mapenzi na madem Wanapagawa mpaka wananiita handsome Simba, mabishoo huniita shemu Vile madem zao nawapita, handsome (konde boy)
Writer(s): Damini Ebunoluwa Ogulu, Nasibu Abdul Juma Issaack, Kesi Publishing, Rajabu Ibrahim Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out