Lyrics

Man a bad man ting Respect to the maximum Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua (Remix) Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua Yeah, calling all units over, ah Shambulizi na wahuni over, ah Warembo kutoweka kesi serious Juu wanarudi bila chupi au sindilia Risky, hiyo ni petroli ya mashini Bless my room ka Nazizi Nianike hii mattress kama wiki (Itabidiii) Burn, burn, Ibra seti shash Chain, chain, mali iende round Kitu safi toka South, Rastaman what a gwaan Deep, nawadigida waroro wakitikitaa Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua (Remix) (Aiyaya) Na iwake, eh-eh-eh Na iwake (Aiyaya) eeh-eeh Na iwake, aah-aah Na iwake Sina pressure ka ni manzi amebeba Ka ni miti itabidi nimesare ketepa (Ala) Sina pressure ka ni manzi nakemba Nina chuma inaeza lala leo mpaka December (Ala) Attitude ka mode wa Kenya Kunipita itabidi umesaka mwakenya Aah, dunda leo imenibamba jooh, eeh Niko na dem ana madiaba jooh, eeh Amenitoa kenyamo anaishika-shika Amerarua mpaka shati ameanza kunilamba Ashadai acha... Acha kuacha... Yeah, Okwonko Na iwake (Aiyaya) Eeh-eeh, na iwake (Aiyaya) Eeh-eeh, na iwake Eeeh, na iwake Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua Ni Alejandro nilihama Dago Nimebuy mansion kando ya Pango Kuna graduation ya boy vajo Saa 'ii ni chairman wa Mafisi Sacco I love you na madem kama thao I want you na ma bff wao Me I, me I Me I need a bitch Me I need a galdem Me I need a freak Slim body gyal but a bumper be thick She can handle a man with an 8 inch stick Ngoma ni noma na remix ni kali Washa kashada na washa iwake Mimi ka ni beat naua (Remix) Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua (Aiyaya), na iwake (What a gwan, what a gwan, what a gwan) Na iwake (Aiyaya), na iwake (Aiyaya), na iwake
Writer(s): Nelson Liena, Elly Omondi, David Omondi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out