Lyrics

Yeah yeah yeah, ah Aluta Exray, Aluta Gwaash eeeh, Aluta Ochungulo, Aluta Nipate baze na maboyz tumechill Tunakata mizinga Aluta Na madem Wakikam nayo nayo Tunakuanga girimba Aluta Na mawetete wetete Boss Utabaki umelola Aluta Tuko jing' na ma jong' Na mafans wanazoza Aluta Ati form zi hukam ni Aluta Ati rieng za ponyoto ni mafuta Shikisha Njiti ndo uingize ngeus chupa Uliza Gwaash siye uwabeba na mashuka Leta storo ndio nikuchome kibonus Ng'orea odi ndio nikushow ukiponwa Rungu yangu si utabaki ukishonwa Mpige munju ndo ashikwe na homa Hii Ni tension nahitaji kuseti Mangeus wako wengi nahitaji kumedi Bash ni Ya waras sijui nikuwe kipedi Ka una usoro sijui nikuweke pending Bash Iko fine juu ifike wikendi Hawa wasupa wote nawapiga parking Sina Ndai nilipoteza car keys Ngeus hako jaba na anadai sijui french kiss Nipate baze na maboyz tumechill Tunakata mizinga Aluta Na madem Wakikam nayo nayo Tunakuanga girimba Aluta Na mawetete wetete Boss Utabaki umelola Aluta Tuko jing' na ma jong' Na mafans wanazoza Aluta Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Oya washa tukiburn, Zilipuke ka Saddam Jicho nyanya tunagang tunakaa taliban Mwita ka ni Fan apewe keg tu na jug Roho sewe na maddam usifuate Babylon Switch position kaniendeshe ka Nissan Kesho nitaenda kanisani ( Father give me permission) Call Polisan Nitajipata Aga Khan Nina damu Ya Oliver Khan Kunitackle ni haram Shoot to di sun Si lazima ukuwe na Gun Fanya sa ile uko young Chorea stori za makwang' Stick to the plan Niko loyal tu kwa fam Ka ni form ya doh nitakam Ka ni vajo nita cum Yes kadunda, aah kadunda Aaah kadunda, aah kadunda Yes kadunda, Aah kadunda Aaah kadunda, Aah kadunda Nipate baze na maboyz tumechill Tunakata mizinga Aluta Na Madem wakikam nayo nayo Tunakuanga girimba Aluta Na mawetete wetete Boss utabaki umelola Aluta Tuko jing' na ma jong' Na mafans wanazoza Aluta Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Aluta Aluta Dem yangu ana mathutha Tulikuwa Tumehata hii vibe Ghapuka to the world lazima Hii round tutashine Si Uficho tutarise Si uficho mtalike Nelly hii beat imetouch(touch) Walisema we ndio goon Nikikuja kwenye hood Cheza chini tuwaroge Cheza Chini hii ni ngori Hii najua mayut watafyam Mimi hushikisha bila Tools Wanajua mimi ni Veteran Iwe giza, iwe sunny, Iwe kangeta Bado katagwara wi wi wi winch Alejandro niko juu ka ndege Nilijam nikabuy tu ndege Ndio nifanye bash moja genje Ruka kwa Jacuzzi ndo tutoe njeve Breakfast ni dry, Fry na sembe Most viewed ni mangwati tu za tene Bodyguard wangu wote Ni malele Wanadai nawabeng' kama champe Mi nu hitman wakugondi tenje Last week nilifuliza na unye Wakatry kunicapture na menje Alejandro Nikigame makmende Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Aluta, Aluta Leo mpaka Aluta Aluta, Aluta Zimeshika Aluta Aii, What a gwan
Writer(s): Nelson Liena, Elly Omondi, David Omondi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out