Lyrics

Hmmmm... hmmm yeah Baby nipe mimi tu Vile vya uvunguni Mwenzio kwenye mapenzi Nishaenyeka Nifikishe mpaka juu Mawinguni Mwenzio kwenye mapenzi Nishaenyeka Kama koroni sina hata moyoni sina (Zaidi ya wewe) Chaguo linguine sina Ndio maana nakufata nizikwe na wewe Acha nikwambie tu Hii siri ya moyo wangu Hata nikificha mboni zitaniumbua aah Acha nikuonyeshe kina na upama wa mapenzi yangu Na huwe wangu wa milele niwe wako Ifunanya ... Ifunanya Ifunanya ... Ifunanya Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nkachoropoka Hile kutapa tapa kama mufa maji nkakorofoka Nikawa na chembe ya ukicha aah Mikasa ya mapenzi inakorokocha Simanzi kutwa kuccha sijiwezii iih Basi chonde chonde iwe mwisho na usije nikatili Hayo majeraha uniuguze uniuguze Illa acha nikwambie tu Hii siri ya moyo wangu Hata nikificha mboni zitaniumbua Acha nikuonyeshe kina Na upana wa mapenzi yangu Na uwe wangu wa milele niwe wako Ifunanya ... Ifunanya Ifunanya ... Ifunanya Aaaannhh mwenzio ooh Ifunanya Kwako wee ndo sijiwezi Ifunanya Hata nyendo sina aah Mbele sioni iih Ifunanya Nakupendaga wewe tu (ifunanya) Hmmhh yeahh ... hmmmmm
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out