Lyrics

Si wenyewe watoto wa paka Hatuwekewi mipaka Mungu akipenda hata usipo taka Ukipinga utadata Haya we Tawile Tawile Tawile Mwanawe Tawile Tawile Tawile Hay we Face ni yes mnatania Das iko taifa N'nakwambia Nikifanya kweli mnanunia Hapo mnapofeli mnabania Mnapata deprestion Mnachoamini mkiona akihappen (Oe) Namnavyopenda tension Na mademu zenu mnashare roshion (Oe) Huu ujuzi awaujui Na wanadata ni so Hii mijuzi Aufumuhi kwakutazama kioo Si wenyewe watoto wa paka Hatuwekewi mipaka Mungu akipenda hata usipo taka Ukipinga utadata Haya we Tawile Tawile Tawile Mwanawe Tawile Tawile Tawile Hay we Haya we Tawile Tawile Tawile Mwanawe Tawile Tawile Tawile Hay we Nilipo sipo N'hapotaka bakia Nipo simple kama Triple Org Na kama ipo Ipo tu Uwezi zuia Huu ni wakati wamapito Hata maandiko ouni Mi mtu mzito ushanisikia Kila pancha nilipanch komi Mmh Sijui nijiloga famie Ninapokua na mboga tamu kunoga homi (Homi) Mmh Homio kwio Mi kwanza wagasipendi washikaji wa ndio ndio Bishop sikuoni hata chooni We mbio mbio Nausitake wakuwekee honi Utakua Poni Mi sio Niwazi vile wanangu tumepinda Hatuwazi tunatongoza hadi maninja Sio maninja tu hata wanaovaa kininja Na tukikosa tunatongoza hadi wenye mimba Si wenyewe watoto wa paka Hatuwekewi mipaka Mungu akipenda hata usipo taka Ukipinga utadata Haya we Tawile Tawile Tawile Mwanawe Tawile Tawile Tawile Hay we Haya we Tawile Tawile Tawile Mwanawe Tawile Tawile Tawile Hay we
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out