Music Video

Jux - Unaniweza (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
Kool Savas
Kool Savas
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Songwriter
Abba Touches
Abba Touches
Composer

Lyrics

Abbah Pindi ukicheka we, mi moyo unanitabasamu Huwa mwenye kujihisi mororo Ila ukilia wee, hata kula nakosa hamu Huwa mwenye kujihisi mdororo Ukiwa karibu na mie, najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, umetia fora We ndio dakitari, darling, nikitaka kupona Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Sitamani mwingine, wala sidhani ka ataweza kutokea Maana mambo yako moto moto, moto Labda upite ushetani mwingine Maneno ya watu nishazoea I don't care Kila kukicha choko choko, choko Unavyonipa raha, ndiyo nanenepa mie Penzi lako natinga, naringa nabembea Kinachokufaaa, usisite niambie Kwako niko radhi hata zege nibebe, machinga nidadishee Ukiwa karibu na mie, najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, umetia fora We ndio dakitari, darling, nikitaka kupona Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza, I do it for love For love Unaniweza weza, I do it for love For love, I do it for love Unaniweeeza Abbah
Writer(s): Jux Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out