Music Video

Lava Lava - GO Gaga (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

Ana jicho la kukonyeza na mikogo ka-Shakira Mhhhhhhh Nyuma mkia pweza shepu katapira Mechi tunazozicheza kitandani fundikira Ameniweza napumua kwa mipira Tenaa Kiuno laini chuchu dodododo Kitovuni kipini mtoto jojojojo Avae dera kimini nyuma rojorojo Katoto ndizi maini yani sotojotojo Aaahhhh gogaga Fanya kama unataga Tuzivunje chaga Ongeza mazagazaga Ayeee Aaahhhh gogaga Fanya kama unataga Tuzivunje chaga Ongeza mazagazaga Basi waonyeshe Waone waone Basi waonyeshe Waone waonyeshe waone Basi waonyeshe Waone waone Basi waonyeshe Waone waonyeshe waone Basi waonyeshe Mungu alikuumba kwa udongo we mtoto fire (Fire, fire) Utajanipa mazongo ukija retire (Tire, tire) Nizidishe uondo stimu za kaya (Kaya, kaya) Sichururu ndondondo, penzi likapwaya (Pwaya, pwaya) Unavyonichanganya manuva Kiuno spidi kama msuva Kwako napooona Maajabu samaki nguva Mchezoni unavyonifungafunga Magoli ya koona Tenaa Kiuno laini chuchu dodododo Kitovuni kipini mtoto jojojojo Avae dera kimini nyuma rojorojo Katoto ndizi maini yani sotojotojo Aaahhhh gogaga ah eh Fanya kama unataga ah eh Tuzivunje chaga ah eh Ongeza mazagazaga ah eh Aaahhhh gogaga ah eh Fanya kama unataga ah eh Tuzivunje chaga ah eh Ongeza mazagazaga Basi waonyeshe Waone waone Basi waonyeshe Waone waonyeshe waone Basi waonyeshe Waone waone Basi waonyeshe Waone waonyeshe waone Basi waonyeshe
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out