Lyrics

Kinachohitaji moyo Hata akili haiwezi baini Cha mtima cha moyo Hata kama kibaya Kifaacho mtu chake Kwako sisikii wala siambiliki Nakupenda kipimo sina Kwako mi hoi chakari Nalewa Henessy Moyo wangu unao Kwako ninatua kafanya makazi, yeah yeah ooh Napenda mapaka mjini Wakanirubuni Nusura wanitoe roho Oooh upendo si kutamani,yeah yeah ooh Ila kaja toto la moto Kanipoza kama uji wa mtoto Haters tunawanyoosha vinyoosho Ukaja toto la moto (Moto) Kanipoza kama uji wa mtoto (Mtoto) Insta tunawanyoosha vinyoosho Nakupenda vibaya (Baya baaya) Yaani vizuri vibaya (Baya baaya) Nakupenda vibaya (Baya baaya) Yaani vizuri vibaya (Baya baaya) Nampenda mpenda (Nani?) Msichana mmoja (Nani?) Na jina lake (Nani?) Nampenda mpenda (Nani?) Msichana mmoja (Nani?) Na jina lake (Nani?) (Vicky pon dis) Toto ulivyosimama umenikaa Ooh nakuwaza kila saa Unavyobana unaachia, bana unaachia Kisha slow it down ghafla unatia gear (toto mi hoi) Unavyobana unaachia, bana unaachia Kisha slow it down ghafla unatia gear (toto mi hoi) Toto la moto Kanipoza kama uji wa mtoto Haters tunawanyoosha vinyoosho Ukaja toto la moto (Moto) Kanipoza kama uji wa mtoto (Mtoto) Insta tunawanyoosha vinyoosho Nakupenda vibaya (Baya baaya) Yaani vizuri vibaya (Baya baaya) Nakupenda vibaya (Baya baaya) Yaani vizuri vibaya (Baya baaya) Nampenda mpenda (Nani?) Msichana mmoja (Nani?) Na jina lake (Nani?) Nampenda mpenda (Nani?) Msichana mmoja (Nani?) Na jina lake (Nani?)
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out