Lyrics

Kwangu Kujua na kukua, Ni lengo la kila kukisha tua Hivyo hata ukinizungusha Sioni shida, Utanifundisha Wakaribu wanatambua Saa zingine maneno hunisumbua Huwa yanikataa Huwa yanihadaa Lakini we, ona ninapaa Ndege ushanifanya Ukipandisha bei, unajua nitafika Na nitapita yie Lakini we, ona ninapaa Ndege ushanifanya Ukipandisha bei, unajua nitafika Hata Kesho Kutwa, tutapendana Na usiku kucha, tutapendana Hata kesho Kutwa, tutapendana Na usiku kucha, tutapendana Wewe unanijua, gizani umenitoa Sikudhani ningetoboa Ni Mara ngapi nilikwama? Ni Mara ngapi? Umechagua niwe na we'! Na siwezi ngoja kwenda kwenye goti, Nikuvishe pete dunia i-notice Vile ninapaa, ndege ushanifanya Ukipandisha bei, unajua nitafika Na nitapita yie Lakini we, ona ninapaa Ndege ushanifanya Ukipandisha bei, unajua nitafika Hata Kesho Kutwa, tutapendana Na usiku kucha, tutapendana Hata kesho Kutwa, tutapendana Na usiku kucha, tutapendana Ooh, I promise to love you You inspire me You... Oh yes, oh yes, oh yes! We've given love a chance Niwe na we', na we'! (Love is always in us) Sometimes we fall in love, Love is always in us Sometimes we fall in love Love is always in us. Hata Kesho Kutwa, Na Usiku... Na usiku Kesho, kesho, kesho! Na usiku, Tutapenda.
Writer(s): Edward's Okoth Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out